Jokate Alipendeza sana Kuliko Bi.Harusi Shilole kwenye Harusi ya Uchebe na Shilole

Yes ilikua sherehe ya Shilole akiwa amefanya reception baada ya kufunga ndoa na bwana Uchebe,na miongoni mwa watu waliopendeza sana usiku huo alikua Bibie Jokate Mwegelo ambaye kwa maoni yangu naona alipendeza sana kuliko Bi .Harusi mwenyewe Shilole,
Shilole alivaa gauni jeupe lenye cape effect kwa nyuma kwakweli lilikua la kawaida sana naona kama halikumtoa vyema wakati mgeni mwalikwa Jokate akionekana kunoga zaidi.Kama Bibi Harusi Shilole alitakiwa kupendeza haswaaaa.
muonekano wa Shilole Wewe waona nani alinoga????
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.