Lowassa adai aliitwa Ikulu na Rais Magufuli akimtaka kurudi CCM ila alikataa

Waziri Mkuu wa zamani na mjumbe wa kamati kuu ya Chama caha Demokrasiana na Maendeleo (CHADEMA), Mhe. Edward Lowassa amesema kuwa alikwenda Ikulu baada ya kuitwa na Rais John Pombe Magufuli akimtaka arudi CCM lakini alimjibu kuhama kwake hakubahatisha.


Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment