Shilole amtumbua Uchebe ‘feki’

Msanii wa muziki, Shilole amefunguka kumkemea vikali mtu anayetumia jina la mume wake Uchebe bila ridhaa yao kupitia mtandao wa Instagram na kuanza kuichafua familia hiyo mpya.

Muimbaji huyo ambaye weekend hii alikuwa kwenye sherehe ya ndoa na mume wake huyo, amesema hapendezwi na uchafu unaoandikwa na Uchebe feki akidai unamchafua mume wake.

“Plzzz plzzz nimechoka na huyo uchebe feki walah ananiharibia muonekano wa Mume wangu,” aliandika Shilole kupitia Instagram. “Maana hana maneno haya lol! mashabikI wangu naomba muipuuze hii acount! Acount ya mume wangu ni @uchebe1 hana fans wala nini,”
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.