Spika Ndugai aagiza RC Ole Sendeka ahojiwe

Baada ya sauti ya Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Christopher Ole Sendeka kuvuja mtandaoni akiwananga Wabunge wa Jamhuri ya Muungano Watanzania kuvuja mtandaoni, Hatimaye Spika wa Bunge Tukufu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai ameagiza Kamati ya Haki, Maadili na Maadaraka ya Umma kukutana ili kuchunguzwa  na kujadili kauli hiyo.


Spika Ndugai amesema wakati wa uchunguzi huo ukiendelea RC Ole Sendeka ni lazima aitwe kuhojiwa na Kamati hiyo ili kubaini ukweli wa kauli hizo zilizosikika kwenye mitandao ya kijamii zikiwa kwenye lugha ya kiswahili, Kiingereza na Kimasai.

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment