Vera Sidika amuanika mzungu wake

Mfanyabiashara na mwanamitandao kutoka nchini Kenya Vera Sidika ameamua kumuandika mwanaume mwenye asili ya kizungu katika mtandao.


Vera ambaye alitangaza kuwa single wiki kadhaa zilizopita ametumia mtandao wa Snapchat kumnadi  mwanaume huyo anayesemekeana kuwa ni boyfriend wake mpya.


Kama haitoshi mrembo huyo ameweka video na kumuta kijana huyo aje kusalimia watu  “babe come say hi

Mwaka uliopita mrembo huyo alitangaza kuachana na mpenzi wake wa Kinigeria baada ya kudai kuwa alikuwa akimnyanyasa na kumtumia vibaya.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment