Wakili Kibatala ajitoa kesi ya Wema Sepetu, Msando achukua nafasi

Kesi inayomkabili Muigizaji wa filamu Bongo, Wema Sepetu, imeahirishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Jumatano kuendelea mpaka tarehe 8, Februali mwaka huu

Katika kesi hiyo iliyokuwa inaendelea katika Mahakama hiyo. Mahakama imepokea barua mbili kutoka Wakili wa Malkia huyo, Peter Kibatala barua ya kujitoa kuwa Wakili wa Wema na nyingine kutoka kwa Wakili Alberto Msando ya kuwa Wakili mpya wa Wema sepetu.
Wema Sepetu anakabiliwa na kesi ya matumizi ya dawa za kulevya.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment