Wanasiasa wajitokeza kuaga mwili wa mke wa Mzee Kingunge

Viongozi mbalimbali wa Siasa wa jitokeza kuaga mwili wa Mke wa mwanasiasa Mkongwe, Kingunge Ngombale Mwiru. Nyumbani kwake Makumbusho jijini Dar es salaam.

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment