Young Dee ni mtoto sio sawa na Prezzo – Amber Lulu

Msanii muziki Bongo, Amber Lulu amefunguka tofauti iliyopo kati ya mpenzi wake wa sasa Prezzo na Young Dee ambaye walishaachana.

Muimbaji huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma ‘True Love’ ameiambia Planet Bongo ya EA Radio kuwa Prezzo ni mtu mzima hawezi kufanana na Young Dee.
“Ukimuweka Young Dee na Prezzo, kwanza tofauti yao ipo ni kubwa sana, kwanza Young ni mtoto sio sawa na Prezzo, sema ni mdogo wake,” amesema.
“Ndio imetokea nime-date na wote wawili lakini kuna heshima mtu itabidi amuwekee mwenzio, kwa hiyo Prezzo anaweza akawa na vitu kama vya Young Dee lakini (Young Dee) akatawa too much,” ameongeza.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment