Baada ya Mkasi na Ngaz Kwa Ngaz, Salama Jabir kuja show mpya

Mtangazaji mahiri wa runinga Salama Jabir kuja na TV show mpya.
Show mpya ya Salama inakwenda kwa jina la Shabiki ambayo itaanza kuruka March 3 mwaka huu kupitia EATV.

Kipindi hicho ni kwa ajili ya michezo, Salama amesema ameona mapenzi yake kwenye mpira yasiishie kwenye timeline za social media ila kwenye TV yanaweza kuleta maana zaidi.
Kipindi cha Shabiki kinakuja kuongeza idadi ya vipindi vikali alivyowahi kuvitangaza kama Planet Bongo, Mkasi na Ngaz kwa Ngaz.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment