Ernest Napoleon afunguka aliyoyaona katika uzinduzi wa Black Panther

Muigizaji wa filamu Bongo anayefanya vizuri kwa sasa Ernest Napoleon  aliyeigiza na kuandaa  filamu ya ‘Kiumeni’ ameeleza alichokiona na kujifunza katika uzinduzi wa filamu ya Black Panther.


Akiongea na Bongo5 masanii huyo ameeleza uzoefu aliyopata katika uzinduzi huo ni kuona jinsi gani wenzetu wanavyofanya kazi.
“Kusema ukweli nikisema experience yangu niliyoipata nimeona jinsi gani wenzetu walivyo kuacha mbali, u-serious wao kwa sababu nimekaa nimeona nimeongea nao jinsi walivyoshoot hivyo movie,” ameeleza Ernest.
Akaongeza “Kusema ukweli mimeongea machache na crew na maproducer kusema kweli wametuacha mabli sana, wenzetu wanashoot siku moja kwa scene dolla milioni tano imangine.”
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment