Mtulia anatafuta sababu watu wampe kura – Mh. Sumaye

Waziri Mkuu Mstaafu na Mwenyekiti wa Kamati ya Kampeni ya Uchaguzi Kinondoni, Frederick Sumaye amefunguka kuwa Mgombea wa jimbo la Kinondoni, Maulid Mtulia anajua kilichompeleka Chama cha mapinduzi (CCM) hivyo amemtaka anyamaze kimya huku akimtaka ajue kuwa wananchi wanajua nini kimempeleka katika chama hicho: Tazama video hii Sumaye anaeleza.


Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment