Mwanamuziki Ambwene Yesaya aka A.Y afunga ndoa huko Rwanda

Msanii wa muziki hapa Tanzania, AY kwani aliweka historia katika maisha yake kwa kufunga ndoa na mpenzi wake wa zamani Remmy kutoka nchini Rwanda.

Tunawatakia maisha mema ya ndoa 

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment