Nimepokea kwa masikitiko kifo cha Mzee Kingunge – Spika Ndugai

Spika wa Bunge la Jamuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amesema kuwa ameshtushwa na msiba wa Mwanasiasa Mkongwe, Kingunge Ngombali Mwiru kilichotokea katika hospitali ya Taifa Muhimbili.

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.