Picha + Video :: AY afunga ndoa na mpenzi wake

Msanii wa muziki Bongo,Ambwene Yesaya maarufu kama AY amefunga ndoa leo na mpenzi wake wa muda mrefu Remy.
Shughuli za kufunga ndoa hiyo zimefanyika leo katika hotel ya Golden Tulip iliyopo jijini Dar Es Salaam na kuhudhuliwa na mastaa mablimbali kama vile:-Lady Jaydee, Mwana FA, Salama Jabir, Profesa Jay (Joseph Haule), Fid Q na wengineo wengi.


Siku ya kwanza walipokutana 

Harusi ya kimila huko Rwanda

Decoration by kevinsevent 
Beach wedding tings


groom and his squad 

Remmy akijiandaaa

she is pretty

Waiting for her to walk down the isle 


Fid Q,Ecejay,Peter Mo

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment