Vanessa Mdee aungana na Alikiba na Dimpoz kufuata nyayo za Ben Pol

Ben Pol ameonekana kuwavutia wasanii wa Bongo Flava kwa mwaka huu katika staili ya kuweka rangi nywele (breach). Baada ya Alikiba na Ommy Dimpoz kufanya hivyo, Vanessa Mdee ameamua kufuata nyayo hizo.'

New Hair Who Dis? @iambenpol najua umefarijika sana ๐Ÿคฃ๐Ÿ“ธ ,” ameandika Vee kwenye moja ya picha alizoziweka kwenye mtandao huo.'

Naye Ben Pol amemjibu Vanessa kupitia mtandao huo kwa kuandika, “Happy Faraja Week, naendelea kufarijika tu ๐Ÿ˜€ @vanessamdee ๐Ÿ˜๐Ÿงก.”
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment