Walichoandika Salama Jabir na Mwana FA na mastaa kuhusu ndoa ya AY

Juzi ilikuwa siku nzuri sana kwa msanii wa muziki hapa Tanzania, AY kwani aliweka historia katika maisha yake kwa kufunga ndoa na mpenzi wake wa zamani Remmy kutoka nchini Rwanda.

Kufuatia tukio hilo  Wasanii na watu mashuhuri nchini Tanzania wamempongeza AY kwa kukamilisha tukio hilo tukufu.
PROFESSOR JAY:
DIAMOND PLATNUMZ:
MWANA FA:
 • mwanafamy brother @aytanzania ,karibu kwenye hili timu la watu wazima wenzio..Mungu awabariki wewe na shemeji wa Taifa @remyrwanda kwenye muunganiko wenu huu..Godspeed my G.
  Ila Rwanda hapana aisee,hapana / photo by @mxcarter
B-DOZEN:
 • bdozenHongera Sana Toyoyo @aytanzaniaMwenyezi awaongoze kwenye hili we Na #Remy! Na nawaombea Ndoa idumu Milele!!!

 • ecejay
 • My Brother And His WIFE!
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

  Blogger Comment
  Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment