Yaliyojiri katika msiba wa Radio usiku wa jana nyumbani kwake

Usiku wa jana watu kibao wamehudhuria nyumbani kwa Moses Ssekibogo maarufu kama Mowzey Radio, kuomboleza msiba wa msanii huyo ambapo shughuli hizo zinafanyika nyumbani kwake Makindye mjini Kampala.

Radio alifariki Alhamisi hii katika Hospitali Kuu ya Kampala baada ya kulazwa kwa siku 10 baada ya kudaiwa kushambuliwa kwenye bar moja huko Entebbe.
Picha ya mama mzazi wa marehemu Radio akiwa msibaniShare on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment