Dogo Janja awaonya wanaomnyemelea Irene Uwoya, ‘Ni bora umwage damu’

Msanii wa muziki Bongo, Dogo Janja ameonyesha ni kwa kiasi gani anampenda mkewe, Irene Uwoya.

Hitmaker huyo wa ngoma ‘Ngarenaro’ ameonyesha kutopenda mtu yeyote mwenye nia mbaya kuwa karibu na mke wake. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Dogo Janja ameandika;
Ni bora umwage damu mbele ya adui yako kuliko kumwaga chozi… #MyBeautifulWife❤#AtadondokaMtu#MazoeaNaMkeWangu😏

Dogo Janja na Irene Uwoya waliripotiwa kufunga ndoa November 25, 2017, hata hivyo ni vigumu kutaja tarehe kamili kutokana na namna walivyoliweka suala hilo hasa kwa upande wa vyombo vya habari na mitandao.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment