Faiza Ally Asema yeye Mzuri na anajijua ila amegundua uzuri hauna maana kama huna hela

Mwanadada mjasiriamali na mama wa watoto wawili Faiza Ally Anasema anajijua yeye ni mzuri ,na anajua akisimama na wengi anawapita kwa uzuri wala hatumii nguvuu,ila yeye ameshajijua ndo maana anachakarika kupata pesa sababu amejua kua uzuri hauna maana kama huna pesa.

Najua how beautiful I am some people think sijui no mnakosea I know tena situmii nguvu na uwezo wa kusimaa kusema mzuri kushinda wengi wenu lkn sawa baada ya kujua mzuri so what ? Nimekuja kujua uzuri hauna maana kama huna hela ndio maana huwa siuexpress , uzuri hauna maana kama huna akili na zaidi usichana haudumu na hauta dumu zaidi kama maisha mabaya zaidi na zaidi utabakia kubadilisha wanaume and is very sad how wanawake wazuri wanatumika vibaya so Kwa mimi uzuri wangu sio kitu cha kwanza ni kitu cha mwisho tena sio kikubwa a special ninapo ona wanawake wanao fanya vizuri kwenye maisha , wanawake wazuri naomba muache kutegemea mionekano yenu na muache kutumia uanamke wenu kuwa ndio kila kitu ! Tufanye kazi na tusiwe mategemezi kwa wanaume , wazuri ni wengi wanazaliwa kila siku na siku hizi uzuri pia unanunuliwa na mwisho wa siku utazeeka huna kitu ukabaki na uzuri usio na faida Kwako! Lkn uwe mzuri uwe na hela inakua burudani , sasa uwe mzuri half kila ukiangalia ulifanya nini unabaki kuhesabu tu ulio lala nao na hakuna ulicho ambulia zaidi ya size za madudu UTAJUTA!#MACHINGAWAKISHUA
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment