Jokate Mwegelo atumbuliwa UVCCM

Kamati ya Utekelezaji ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) imetengua uteuzi wa aliyekuwa Kaimu Katibu wa Hamasa na Chipukizi wa umoja huo, Jokate Mwegelo kuanzia leo Jumapili 25/03/2018.

Jokate Mwegelo
Kamati hiyo iliyokutana kwa dharura mchana wa leo mjini Dodoma iliongozwa na Mwenyekiti wa umoja huo Ndg. Kheri Denis James imesema kuwa nafasi ya Jokate itajazwa hapo baadaye.
Jokate  aliteuliwa na Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi mnamo Aprili 25, 2017 kuwa Kaimu Katibu Hamasa na Chipukizi wa jumuiya hiyo.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment