Juma Nature na Rich One kuliamsha dude

Baada ya ukimya wa miaka miwili Juma Nature na Rich One wametangaza ujio wao mpya katika game ya  muziki.

Nature aliyetamba na hit kibao kama ‘Mtoto Iddi’, Ugali, na nyingine ametangaza ujio wao huo mpya ifikapo mwezi Mei mwaka huu chini ya studio za MJ Records.
Taarifa za wawili hao kutoka kundi la Wanume Halisi za kurejea zimetoka kupitia mtandao wake wa kijamii wa Instagram wa Juma Nature.
''I'm comming'' Aliandika caption hii ya picha ya juu baada ya kuipost kwenye instagram page yake.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment