Maoni ya Faiza Ally Baada ya Zari kupata Dili la ubalozi wa Pampers '' Ina maana uhitaji bongo umeisha mpaka tuweke watu kutoka nje ?? ''

Faiza Ally ambaye ni mjasiriamali na akijulikana kwa kusema mambo ambayo ni tofauti na watu wengi wanavyoyachukulia au kuyawaza,kama wa Tanzania wengine naye amekua mmoja wapo wa watu walioshangaa Zari kupata dili hilo la ubalozi wa pampers .Zari ni mama wa watoto wa 5 na ni Mganda sio Mtanzania .

Sababu hiyo basi Faiza ametoa maoni yake na watu wengi wametoa comments wakimlaumu na wengine wakikubaliana nae.
I know this is gonna look bad for somepeople but let me be honest , how stupid Tanzanian can be , mastaa wote watanzania , watu wote watanzania hamkuona hata mmoja anae stahili kupata dili zaidi ya zari ? Ina maana uhitaji bongo umeisha mpaka tuweke watu kutoka nje ?? Kwa nini tunawapa kipa umbele wageni tunajizarau sisi ??? Mlishawahi kuona Uganda na kenya wamempa nani dili wakamuacha wa kwao ?? Eti sasa hivi mganda na mkenya wanapongezan na sisi wote tunaonekana hatukufaaa , noel you know all the Tanzania star na uko karibu hukuona anae faa ? I don't hate zari but I hate kuona vitu wanavyo stahili kupata watanzania kapata mganda this is no good ! Hakuna nchi duniani utaenda ukaona mgeni anapewa kipa umbele zaidi ya mwenyeji , kiasi mpaka ukiwa unasuburi tax mpaka mwenye nchi apate na wewe ndio unafata ! Najua hater they gonna hate but I don't care ๐Ÿ™Œ hivyo ndio ninavyoona inavyo stahili !!!!

Baadhi ya maoni ya followers wake 
 • iam_g_mtonyohakuna mtu anayeweza kushawishi kuwa balozi @faizaally_ kwanza hatujui kujiwekea brand alafu tupo cheap sana unafikiri angeenda mbongo hicho kitu kisingejulikana yaana hakuna wa kutustua bongo, wenye makampuni wanatarget za mbali sio za hapo ulizofikiria wewe..! Zari ni brand tosha kama ulikuwa hujui, na anajimudu. SASA wewe kwa mfano ndo kampuni ni yako ungemuita nani aje kuwa barozi!!!!!!๐Ÿ˜‰
 • mum_michelly@ebezinamb nimekusoma vzr sanaaaaaaaaaaa. ila bado sikubal kwamba Tz n Jokate na Lulu alone...no thank you. Ila nmekuunga mkono ulivyosema wanaangalia vitu ving as u mentioned. Hebu tumalize mjadala bas
 • kidorrydorry@sadockalypto10 ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 • rukkysaidWanaangalia vitu vingi dear,kwa mfano wewe ile post ya mchupi umechoka vile kweli wanaweza kukupa dili km hyo kirahis...๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 • kidorrydorry@africashadepage ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 • ebezinamb@mum_michelly cool!
 • 255_the_finest_emmyAkili kichwani tu! Real recognizes real
 • badra_collectionFact mama hata mimi mwenyewe imenishangaza sana tuuuuuu
 • badra_collection@iam_g_mtonyo hiyo bidhaa nimeijua hata kabla ya zari kuwa balozi kwanza mi diaper yenyewe nimetumia si kihivyoooo
 • oddy_is_a_baeMarekani yenyew iliongozwa na mkenya sembuse Tz mwachen zari wa watu anastahili
 • badra_collectionMi nashangaa wanaosema wtz hawajielewi,sijui wanakaa uchi kwan hyo zari hakai uchi?
 • consolatakigelulyegmail.com6kweli my umeongea fact wabongo wanashida na ubongo wao. tutaishia umaskimi kwaajili yakujipendekeza. wadada wazuri kibao mpaka zari. dawa yao msinunue hizo pampas wapeleke uganda
 • consolatakigelulyegmail.com6kwani zari anamazuri yepi mpaka watu wamtukuze kwamba anaakili kulilo wengine
 • ebezinamb@mwana_heri ๐Ÿ’ฏ๐Ÿ’ฏ exactly, I'm from saying the same exactly thing
 • shy.nanjiWatu wameng'ang'ana chupi, tako ndo maana hawapewi mbona zari ana video yake akijichezea yupo uchi wa mnyama hata kunyoa hajanyoa, siamini kama ndio kigezo, hamisa huyo hapo mbona nae ni modeling what's the different tatizo watanzania roho mbaya sanaaaaa, ubinafsi, huo ndo mtazamo wangu
 • mgengeleheriethgmail.c_Mmmh mmmh vigezo na mashariti kuzingatiwa
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

  Blogger Comment
  Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment