Nabii aliyemuamuru muumini ‘piga kelele’ aeleza tukio lilivyokuwa

Nabii Olivia kutoka kanisa la Repohim Ministry Sinza jijini Dar es salaam amefunguka kwa mara ya kwanza kuzungumzia clip ya video ambayo ilisambaa mtandaoni wiki hii ikimuonesha akimuamuru muumini kupiga kelele kwa nguvu wakati anamuombea hali iliyoleta taharuki mtandaoni.

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment