Sipati kazi kumuuza Diamond kimataifa – Promota wa show za Diamond UK

Promota wa show za Diamond wa nchini Uingereza, Dullah amefunguka kwa kusema kuwa rais huyo wa WCB ni kati ya wasanii wachache ambao wanatambua kitu ambacho wanakifanya katika muziki. Alisema yeye amekuwa akiandaa show nyingi kubwa za muimbaji huyo huku akidai ni rahisi kwa wafanyabishara kUwekeza kwa Diamond kuliko kwa wasanii wengine.

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment