Double Wedding :: Hivi ndiyo ilivyofana Harusi ya Ali Kiba na Amina ,Abdu Kiba na Ruwayda

Baada ya kufunga ndo katika kati ya mwezi huu ndugu wawili Ali Kiba ambaye alifunga ndoa na Amina ,wakati Abdu kiba akifunga ndo na Ruwayda,Jana walifanya reception yao pale Hyatt Regency Dar es Salaam.


Ali Kiba na mkewe Amina


Abdu Kiba na Mkewe Ruwaydacake Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment