Fahamu Mtoto wa Kajala anataka kuja kua nani,na Mipango yake ya kuongeza mtoto au la

Kajala ambaye ni msanii wa Filamu Bongo kasema mtoto wake Paula hayupo interested kuingia kwenye filamu wala tasnia nzima ya burudani .

Muigizaji huyo na mama wa mtoto mmoja ameiambia Planet Bongo ya EA Radio kwamba binti yake  ana ndoto za kuja kuwa mwanasheria .
“Hivi vitu industry, sijui radio, muziki, movie hapana , hayupo interest kabisa yeye kila siku anaseama anataka kuwa mwanasheria, kwa tunasubiria amalize shule tuwe na mwanasheria mkali,” amesema.
katika swala la   kuongeza mtoto wa pili, alijibu; “Mungu akijalia atotokea mwingine tu soon,”.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment