Hamisa Mobetto kufungua Duka lake La Mobetto Style Boutique Leo,na Huu ndo muonekano wake wa kwanza

Hamisa Mobetto ametuonyesha muonekano wa kwanza wa duka lake la Mobetto Style boutique ambalo anatarajia kulifungua leo.
Amepost video hii akiweka na caption hii 
Muonekano wa kwanza wa duka letu LA @mobettostyles 
Shukran za dhati zimuendee mdogo wangu @tuddah_furniture_n_interior@tuddah_furniture_n_interior kwa kutengeneza duka letu na kua LA kisasa na zuri haswaaa ....!
.
.
Duka letu la @mobettostyles Tunalifungua Rasmi Siku Ya kesho ambayo ni Tarehe 17|4|2018 karibuni sana .
Duka letu lipo kijitonyama karibia na shule ya Mama Salma Kikwete Opposite Na Kituo cha police cha Ally MauaB .
Kwa Maelezo zaidi follow @mobettostyles@mobettostyles 
Kwa mawasiliano piga number - 0677667788 ❤️
Muda kwanzia SAA tano ahsubuh mpaka SAA moja usiku Karibuni wote.
.
Video by @chriss_r7


Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment