Haya Ndiyo Maneno ya Majizzo kwenye birthday ya Elizabeth Michael ‘Lulu’


Jana ilikua birthday ya Elizabeth Michael aka Lulu ambaye kwa sasa yupo gerezani akitumikia kifungo chake cha miaka 2.
Mpenzi wale Lulu ambaye ni Majizzo alimuandikia Lulu maneno ya kumtakia siku njema ya kuzaliwa ingawa yupo gerezani .
Aliandika haya kupitia ukurasa wake wa Instagram


Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment