''Its Now Money Time '' Maneno ya Vanessa Mdee kwa Juma Jux baada ya kupata dili nchini China

Jana Juma Jux alikua dili na kampuni ya VENDOME ambayo iko china ,hawajaeleza hadi sasa kuhusu dili zima ila linahusisha brand ya African Boy ya Juma Jux.


Mpenzi wake Vanessa Mdee alimpongeza mpenzi wake na kumwambia jinsi amehangaika kuifanyia kazi mpaka kusimama kwa African Boy na sasa ni muda wa kutengeneza MONEY.

We live in a world of endless possibilities. Hongera sana sana sana babe, umepambana sana kuijenga #AfricanBoypamoja na @fatma8five na waTanzania wote waliowahi ku support brand yako ya kijanja, now it’s MONEY TIME πŸ™ŒπŸ½ God bless you with more @juma_jux AFRICAN BOY TO THE WORLD 🌎 #Fashion #Brand#Global #JumaJux #StreetWear nakuona mbali babi wewe piga kazi πŸ™πŸΎπŸ™ŒπŸ½πŸ’œ
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment