Kampuni ya MAC yaja na Collection ilokua inspired na Mwanamuziki Aaliyah


Yes imepewa jina la MAC x Aaliyah ambapo kwa miaka mingi fans wamekua wakiomba kampuni hii itoe collection ambayo itatoa heshima kwa the late singer and great rapper Aaliyah ambaye alifariki mwaka 2001 na ajali ya ndege akiwa tu na miaka 22.
Sasa MAC wametoa sneep peek kidogo ya baadhi ya vitu ambavyo itakua kwenye collection hiyo .

lipstick

kuna hii pallet yenye shades 9 za eyeshadow ambazo ziko filled with metallic and matter shades like neutrals browns and golds ,deep purple and a pretty rosy pink.

collection itakua out for sale On June 20th


Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment