Mh.Lema Asema ''RC Gambo hakuogopa kuwa Muongo Madhabahuni na Eti aliniita mimirafiki yake""

RC Gambo alimtambilisha Mh.Lema kama rafiki yake kwenye ibada ya kusimikwa Mhashamu Isaack Amani kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha.

Mbunge Lema alipewa nafasi ya kuongea na alielezea wazi jinsi alivyotambulishwa na Mkuu wa Mkoa huo kuwa RC Gambo hakuogopa muongo madhabahuni kwa kumtambulisha kuwa yeye ni rafiki yake.
Kupitia ukurasa wake wa Tweeter aliandika haya 
“Ktk Ibada ya kusimikwa Askofu,Mh Rais aliongea neno la Mungu kuhusu Amani na Haki.Bila shaka demokrasia na haki vitashamiri tena.Askofu Amani yeye akasisitiza ushirikiano kisiasa bila kubaguana.Mrisho Gambo(RC) yeye akuogopa kuwa muongo madhabauni eti aliniita Mimi rafiki yake,” 
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.