MMMhhhhh Vita ya Mapenzi Kati ya Sarah Mpenzi wa Harmoize na Jacqueline Wolper

Muigizaji maarufu wa Bongo Movies  Jacqueline Wolper na mpenzi wa Kizungu  wa Staa wa Bongo fleva kutoka WCB Harmonize, Sarah wamerudi kwenye ya vita ya mtandaoni dhidi ya Wolper.


Jacque na Sarah wamerudi kurushiana maneno kwenye mtandao maarufu wa Instagram ,Sarah akiwa anamtuhumu mkali huyo wa Bongo Movie  kwamba huwa anamtumia meseji DM mpenzi wake wazamani Harmonize wakati anajua Kua anampenzi wake ambae ni Sarah.
Kama ilivyo kawaida ya wengi hutumia mtandao wa instagram kurusha vijembe au kutoa povu kwa watu husika haikua tofauti na Sarah .Amabye alisema anataka Wolper aishi maisha yake amwache mpenzi wake ambaye amekua hata hivyo meseji hizo kutoka kwa Wolper hazijibu.
Alipost screen short hii ikiwa na caption

Desperate girl .... u dm my baby yesterday @harmonize_tz and u speak alone 😂😂😂😂😂 live u life baby 😂😂😂 @wolperstylish


Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment