Muonekano upi wa Vanessa Mdee ambao umeupenda na unawezaa kuu copy??


Kwa Tanzania mmoja wa wasichana wanaoenda sana na Fashion ni Cash Madame Vee Money.Vanessa anafata sana trends ,ni sawa kulingana na kazi yake but siwezi kushauri mtu wa kawaida avae sababu trends zinahitaji pesa nyingi na zinakuja kila siku,but at unaweza fata trend moja ukiipenda ila sio kila trendy.
Its Friday nimekuletea mionekano miwili ya Vee Money ambayo inafaa sana tunapoelekea Weekend.Kama unatokana friends ku hang mahali au kwenda shopping wewe tu.
Look one
akiwa kavaa skinny jeans ya grey ,simple black tank top aka accessorize na camel jacket na grey sneakers

with vintage retro glasses

Look two kwa wale wasio ogopa to show some legs 
black short shorts na t shirt ,love the sneakers too

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment