Onyesha Support yako kwa kuitazama filamu waliyocheza Rapper One The Incredible, Wakazi, Fid Q na wengine

Filamu imepewa jina la Bongo Flava ambayo wameungana rappers na producers mbalimbali wa hip hop hapa Bongo.
Katika filamu hii utawaona watu kama One The Incredible, Wakazi, Fid Q, Makamua, Godliver, Karabani, Lamar, Songa, Saigon, J Nkwabi, Salu T, Silipa na Nkwabi.

Kwenye filamu hiyo kuna nyimbo pia mbalimbali ambazo zimesikika kama  Juhudi za Wasiojiweza ya Fid Q aliyomshirikisha Bibi Kidude, Haya Maisha ya One The Incredible aliyomshirikisha Songa, Mara Hoo ya Bou Nako aliyomshirikisha JCB na Sugu Gaga ya Shaa.


Vanessa Mdee amecheki movie hii na kutoa review nzuri tu 


Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment