TUZO ZA MALIKIA WA NGUVU

Weekend hii zilifanyika tuzo za Malkia wa nguvu chinia ya Clouds Media group ambapo walikua wanawasherehekea na kuwapongeza Wanawake mbalimbali ambao wanaleta chachu na maendelea kwatika jamii.
Tuzo hizi zilifanyika pale Ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere.
Tuangalie baadhi ya washindi wa tuzo hizi .

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Mhe, Ummy Mwalimu akimkabidhi Tuzo ya Heshima #MalkiaWaNguvu Mama Maria Kamm ambaye ana historia ndefu na inayovutia baadaye tutakuelezea.


MALIKIA WA NGUVU 2018. Tuzo ya MOST INFLUENTIAL WOMAN... Hakika Mungu yupo na Mungu anaona. Hii Tuzo kwangu ni kitu kikubwa sana maana siyo tuzo ya mambo ya urembo, wala siyo tuzo ya kuuza bidhaa, wala ya kudesign nguo bali ni Tuzo ya USHAWISHI katika jamii.....Kwani KUSHAWISHI NI NINI? KUSHAWISHI Ni kitendo cha kumfanya mtu anayekufahamu na kukufuatilia ajisikie anaweza kufanya kama wewe na zaidi. Ni hali ya kumpa mtu nguvu ndani yake ya kutimiza ndoto zake. Ni uwezo wa kuamsha moto uliopo ndani ya mtu. Hakika HII TUZO NI KUBWA MNO. Ni kwa NEEMA YA MUNGU TU na KARAMA YA KIPEE kuweza kumpa mtu moyo mpaka akatimiza malengo yake. Nasema tena kwa unyenyekevu mkubwa ya kuwa MUNGU ANANIPENDA NA ANANIPENDELEA. Nachukuwa nafasi hii kumshukuru Mungu, familia yangu, @cloudztv @cloudsfmtzwafanyakazi wangu, wateja wote, fans wangu, na serikali yetu. Mungu awabariki sana. Asanteni sana sana. ๐Ÿ™๐Ÿ™ #maznat#maznatmoment #badilimtazamo#amkanamaznat "Dada yangu Joyce Mhavile amesimama kama sehemu ya mapinduzi wa tasnia yetu sehemu hii tulipofika hatuwezi kusema ni tasnia ya mtu mmoja mmoja ni yetu sote. #RugeMutahabanapenda kutambua nafasi ya mchango wa Dada Joyce Mhavile kama Insipirational Icon katika Media." #RugeMutahaba
"Alianzia Zanzibar uwepo wake kwa miaka 30 katika tasnia ya muziki ni jambo kubwa ambalo linafahamika na kila mmoja wetu na hakika anastahili Tuzo ya Inspirational icon katika muziki wa Tanzania-
#MalkiaWaNguvu Khadija Kopa"
#MalkiaWaNguvu wakipokea tuzo katika sekta ya biashara ya chakula/ FoodBusiness 
#UpendoMwalongo
#ShenaziLema
#ZainabIssa 
#AmkaInakusubiriDunia


"Alijiunga na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) mwaka 1972, amepambana miongoni mwa kazi zinazoaminika kuwa ni za wanaume hadi kufikia cheo cha Meja Jenerali ambacho ni cheo cha tatu kwa ukubwa katika Jeshi la Wananchi wa Tanzania. 
Tunatambua na kuheshimu mchango wake katika ulinzi na usalama wa nchi hii, hakika anastahili tuzo hii ya "Inspirational Icon".
Hongera #MalkiaWaNguvu Meja Jenerali Zawadi Madawili. Pichani ni Joyce Shebe, msimamizi wa Kitengo cha Habari Clouds Media Group akiwa amemuwakilisha #MalkiaWaNguvu

#MalkiaWaNguvu@joujoustyle katika kipengele cha Mitindo na Urembo.

CAROL NDOSI
Thank you @cloudsfmtz for this recognition. I vow to continue using my influence to bring positive change in #Tanzania. Life..the day I bury my brother I win this, amidst all this sorrow..a smile because I know this is Kizzo. Thank you Abba Father. I dedicate this award to my late brother Franklin ‘Kizzo’ Moses Ndosi. He would have been very proud. Tuko Pamoja na Harakati za Maendeleo ziendelee.

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment