VAZI LA ALI KIBA TAYARI KABISA KWENDA KUFUNGA NDOA

Mwanamuziki Ali Kiba aka King Kiba leo anatarajia kufunga ndo huko Mombasa Kenya.Na harusi yake itakua Live Azam Tv.
Ali Kiba amepost picha akiwa na Mama yake na Mdogo wake Abdu Kiba akiwa tayari kwenda kufunga ndoa.

Ali ame share kwamba anafunga ndoa siku ambayo wazazi wake pia walifunga ndoa
Siku ya leo Ndio Siku Mama Yangu Na Baba Yangu walifunga Ndoa ALHAMDULILAH 
#KingKiba
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment