Wema Sepetu Amuahidi Rc Makonda Hili

Wema Sepetu alipata tuzo mbili kwenye usiku wa tuzo za Sinema Zetu International Film Festival Award (SZIFF).

RC Makonda alimpongeza Wema kupitia ukurasa wake wa Instagram 
The python uliyopokea tunzo kwasababu nimesikia meneno maneno kwa Watu wasiyoweza kuandaa hata tuzo ya kuku. Hongera Azamu tv ๐Ÿ“บ mmefanya zaidi hata ya matarajio ya Watu. Endeleeni kufanya vyema ili mwakani mpokee tuzo tena na wale wenyekukosoa endeleeni kukosoa ili mwakani mkosoe tena. Huu ndiyo utamaduni unaofanya wenyekufanikiwa wachukiwe na wanaowachukia kujifariji kwa maneno bila kuweka bidii ktk kazi.

Wema hakusita kutoa shukrani zake za dhati kwa Mh.Rc Makonda na kuahidi kutokumuangusha kabisa .

Naskia RC wangu kaniomba picha ninayopokea Tuzo .... Nimeipata Le Commander hio apo juu baba angu ... Napenda pia nikushukuru kwa kunipa moyo maana nahitaji hio Courage sana kwa sasa .... 


Lakini pia naomba nikuahidi, Sitokuangusha ... !! Maana wagtang RC wako nako sio Pambe kabisa ... ๐Ÿ™Š๐Ÿ™Š๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… Picha ya hapo juu ulioomba ni Mmiliki Halali wa Filamu ya Heaven Sent ambaye kajisajili Cosota na Bodi ya Filamu ... Anazo Haki Miliki zake Zote na Ndo alieshinda Best Actress 2018 kwakuwa amekidhi Sababu zote za Kuwa Mshindi .... 

.
If you do not have a copy of this file, please feel free to post it to me. If you are already a member of the group, you will receive a copy of this file. If you have any questions, please feel free to contact us. Imani ipo siku tutakaa kwenye mstari ulionyooka ... Yote yanawezekana ... Wasanii ni watu wenye wadhfa mkubwa sana ... Najivunia kuwa mmoja kati yao ... Ninajua hata wewe unajivunia kuwa kati yetu sisi ukiwa kama Mlezi ukituongoza kila leo kutaka tufike sehemu nzuri ... Na Inshallah tutafika .... 


Nina upendo wa dhati kwa wasanii wenzangu wote ... Zingine zinazotokea ni changamoto tu ambazo inabidi tuzikabili ... All in all We are One ... !!! 


Cc@paulmakonda ... Ila kwenye Tuzo za Kuku ndo uliponiua .... ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment