Winnie Madikizela-Mandela Afariki dunia Mwanamke ambaye alipigania Apartheid

Anajulikana sana kwa harakati zake alipopigania ubaguzi wa rangi kule South Africa,Winnie Madikizela Mandela amefariki dunia akiwa na miaka 81 .

Yeye na mume wake wa zamani Nelson Mandela ambao wote wawili walifungwa jela walikua ni symbol ya South Africa kwenye kupigania ubaguzi wa rangi.
waweza kusoma mengi kuhusu yeye hapa BBC

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment