Ajira 1,826,743 za Zalishwa na Serikali ndani ya miaka miwili

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amesema kua serikali ya awamu ya tano imefanikiwa kuzalisha ajira 1,826,743 katika kipindi kifupi cha miaka miwili na nusu iliyopita.


Stori::Bongo5
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment