Baada ya kutoka na Shati la Kuchanika ,Idris Sultan ahamasisha Michango kwa Ajili ya Ben Pol

Idris anakuaga na utani sana ,sometimes hufikia mpaka waliotaniwa ku mind ile ya ukweli wakati wengine wanachukulia poa.

Ben Pol alitoka na shati lake la kuchanika ikiwa ni fashion tu kama fashion zingine but Idris Sultan amepata mwanya wa kutumia muonekano wa Ben Pol kwa kumtania kwa kuhamasisha watu wamchangie sababu kanyoa kipara kubana matumizi ya sabuni na shati la kuchanika,hivyo watu wachange wasisubiri kuandika RIP.
Idris alipost hiii 
Wasanii huwa tunasubiri mpaka kuwe na msiba ndio tuungane kumsaidia mwenzetu kwani dalili kama hizi za kukosa nguo hatuzioni ? Kwanini tusimsaidie Ben angali hai ?.. Kaka mpaka ananyoa kipara kubana sabuni tunakaa tu hatujisogezi ila tunajua kujifanya Dahhhh RIP alikua noma sana Samboira aliambiwa ajichunge sijui kama kajichunga, shida yule demu ali touch phone yake naye... Nimemaindi.


Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment