Baada ya nywele za Kijani Ben Pol aja na shati la kuchanika chanika

Hii amefanya in the name of fashion but sometimes its crazy ku go overboard for this,but at the end of the day kila mtu anavaa anachofeel kiko comfortable kwake.
Ben alipost picha instagram akiwa kavaa shati jeusi la kuchanika chanika na short nyweusi .Kwa wapenda fashion hiki sio kitu kigeni Kanye West alikuja na designs zake za t shirt,swetshirts zenye holes na watu walizigombania kuzipata
what do you think of his look?would you rock it??

.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment