Habari njema kwa Wa Tanzani :: Gesi asilia ya majumbani ina punguzo zaidi ya 40%, bei ya mtungi ni kati ya Sh.25000 -30000

Waziri wa Nishati, Medard Kalemani amesema katika mwaka 2017/18 miundombinuya ya kuunganisha gesi asilia majumbani imeanza kutandazwa katika jiji la DSM ambapo bei ya gesi asilia majumbani itakuwa na punguzo la 40% la bei ya mtungi wa gesi zinazouzwa sasa kutoka nchi za nje.
Waziri Kalemani amesema bei ya mtungi inayouzwa 50,000 kwa sasa itakuwa 25,000 hadi 30,000.


Source ::Millardayo
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment