Hii ndo Oscar ya Fashion :: Met Gala 2018

Hii event ndo the most high end fashion waweza iita Oscar ya Mitindo kwa huko majuu.
Mwaka huu theme ni Heavenly Bodies :: Fashion and the Catholic Imagination
Hii theme ni ile ambayo mastaa wanava Kikatoliki zaidi kama Papa ,makofia yale ,kufunika vichwa ,nguo zenye misalaba nk.
Hivi ndo vile Mataa walivyo vaa 
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment