Hivi ndo Vitu Vikubwa Viwili ambavyo Juma Jux anaweza Kumuacha Mwanamke

Kwenye interview na Millard Ayo ,Mwanamuziki Juma Jux  aliulizwa maswali mbalimbali kuhusu mahusiano yake.Hata kipindi cha Fiesta walikua wameachana kweli japo kwamba watu wengi walikua wanahisi ni Kiki.

Ila swala kubwa aliulizwa kwamba ni vitu gani vikubwa ambavyo anaweza kumuacha Mwanamke akasema kikubwa ni Uchafu,hii kama naiona kwakweli Jux ni msafi sana hata kwa kumuona tu sasa am sure he cant stand uchafu,then kingine ni uongo ule mbaya but ule wa kukuprotect kwamba niko kwenye foleni akadanganya huu fresh ila sio ule wa kuzunguka .
Ameongea mambo mengi enjoy the interview 

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment