Hizi Kiki Mjini ZInaboa:: Kiki ya MC Pilipili na Mwijaku kumbe ni wimbo huu Mrisho Mpoto na Harmonize ‘Nimwage Radhi’

Imagine hii ilikua Kiki tu ,tulihangaishwa na ile harusi ya Mwinjaku ambaye alikua ilikua inaonekana kama anamuoa ex wa Mc Pilipili na Pipipili akiwa Mc kabisa wa shughuli.
But ulikua ni wimbo tu .
Bongo watu wanaboa sana kwa Kiki


Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment