Kanye West afunguka Aliumia Jay Z & Beyonce kutohudhuria harusi yake

Kanye West amekua kwenye headline sana wiki hii ambayo amekua ana sana  trend tweeter na issues nzima ya masuala yake na Trump.

Kanye alifunga ndoa na Kim Kardashian May 2014 na kati ya wageni waalikwa ni Jay Z na Beyonce ambao hawakuhudhuria.
Kwenye interview yake Rapper huyo  ameelezea pia kuhusu uhusiano wake na Jay Z katika mahojiano aliyofanya na Charlemagne tha God na kusema kuwa aliumizwa na kitendo hicho na kuwaBeyonce na Jay Z ni familia yake
“Kiheshima inabidi niseme tu niliumia wao kutokuja kwenye harusi, naelewa walikuwa wanapitia vitu tofauti lakini ni familia hawakutakiwa kukosa harusi”

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment