Kim Kardashian Kuja na Lipstick na lipliner za Signature Style yake

Kim Kardashian anajulikana sana kwa kupenda kupaka nude lipstick,mara chache sana atapaka red labda hivyo imekua shauku kubwa kwa watu wengi kutaka kupata lispticks anazopaka yeye.

Kwa mara ya kwanza kuanzisha KKW BEAUTY hakuja na hizi lipstick alianza na mambo ya product za fragrance, highlighter, concealer, na akafanya collabo na makeup artist wakeMario Dedivanovic, sasa finally anawapa watu kitu wanataka the KKW Beauty version of nude lipstick.


June 8 zitakuwa ndo zina anza kuuzwa.

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment