MMhh Hii ndo List ya mastaa wote Bongo aliowahi kutoka nao Amber Lulu


Baada ya Harmonize kutaja list ya Ma group ya ma ex wa Wolper Amber Lulu yeye kataja mwenyewe.
So Amber Lulu ambaye ni mwimbaji na video vixen alifanya mahojiano na kipindi cha Break cha Clouds tv na alikubali kuwaanika mastaa wote ambao ametoka nao kimapenzi.

“Mimi na Nuh  ni marafiki tu na tumefanya kazi pamoja list ya mastaa ambao nimewahi kulala nao ni Barnaba, Aslay, Rammy Garis ila Young Dee sio sana lakini Prezoo ni mume wangu unajua nampenda tu naomba anisamehe tu”>>> Amber Lulu


Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment