New Hit ::: Ommy Dimpoz featuring Seyi Shay - Yanje

Ommy Dimpoz ameshusha nyimbo yake mpya na hii ni Video yake

‘Yanje’ is a sensational ballad by Ommy Dimpoz's featuring Nigeria sensational Seyi Shay. This is Ommy Dimpoz second official release under his worldwide record and management deal with ROCKSTAR AFRICA . "Yanje" is a song that features 3 languages -- Rwandese, Kiswahili and English. Peek the Mofaya Energy Drink in the scene...which is Alikiba's first product, which will be in market by end of this month.
Wema Sepetu akampongeza Ommy kwa maneno haya
Wanasemaga Kimya Kingi kina MSHINDO mkubwa... Ngoma Imenibamba Hatare... Sijui kwasababu ndo aina ya Mziki ninaopenda... Forever Bae Umemaliza wallahy... This One Is Just Amazing... 😍😍😍
.
.
.
Alafu kama naona GROWTH... Yaani Mziki unaoimba now kama wa Kikubwa zaidi... Keep it Up kipenzi... Umeua... Yaani Ni Balaa... Kazi Nzuri umefanya kummezesha Seyi Shai Swahili... πŸ‘πŸΌπŸ‘πŸΌπŸ‘πŸΌ
.
.
.
WellDone... You outdid yourself... Proud of You... Ladies & Gentlemen ebu tufanye kutembelea Bio yake @ommydimpoztukaicheck hii video na tusikilize hii track... Ni Moto wallahy... .
.
.
Naona hii ulituliza kichwa kweli kweli... Wen you talk about Mziki Mzuri sasa ndo huu apa... πŸ™ŒπŸΌπŸ™ŒπŸΌπŸ™ŒπŸΌ cc @ommydimpoz@ommydimpoz @ommydimpoz@ommydimpoz

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment