Sakata la Gigy Money na Mzazi Mwenzie Mo J ,Kila mmoja akishusha Lawama kwa mwenzake

Weekend ilikua na mambo mengi baada ya video queen na mwanamuziki Gigy money kusemekana mzazi mwenzake Mo J kaondoka na kuchukua vitu vya ndani,na kumuacha Gigy na mtoto mchanga akilalia godoro.
Gigy aliongea na Millard Ayo akidai kwamba hela za matumizi alikua anatoa yeye,huku akmshutumu Mo J kutoka na dada wa kazi,then mtoto sio wa Mo J na kamtaja alozaa nae Duh 
Mo J naye anatupa lawama kwa Gigy kwamba familia yake wanampa mtoto mtu mwingine sababu ya pesa .

Isije kua kiki maana mjini kuna mengi ,mkweli nani sasa hapa


Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment